21
Jun 2017
Category: New Singles

Wanilinda

Wanilinda - Download

Lyrics

INTRO: KAMLESH KAGABA
Kamlesh Kagaba Kamanda wa makamanda
Mohwaz maboys wa bars
Noel Nderitu nakucheki
UrbanLight, kwa beat ya D.O
Boston mpaka 254

VERSE ONE: MOHWAZ
Hatari langoni ni bao Kamlesh; sipotezi nafasi
Tafadhali mweleze farao no stress; harakisha farasi
Lazima tupimane nao vi fresh; Maulana yu nasi
Na njaro za mwili sahau za flesh; hukatika kwa kasi
Nahitaji Imani Ngize; nehema ni gawe kiburi reduce
Roho wako sii pia nimpokee; kuishi nawe ndio mii ni na choose/x2
Flow imefungwa; flow iko ndani ni Kama mahbus
Mistari imetungwa; tangu zamani kipaji na use
Beat Ina gonga; kick ina chapa inachoma ma fuse
Army Ina songa; jeshi la tamba hatujali ma bruise
Naomba naomba na kesha misuli za prayer za zidi kugrow
Ukisoma ukisoma somesha vizuri kwa snare na ujiamini kwa flow
Na kaa ni kunoma komesha shughuli ombea ushindi ma bro
Wata pokea uwingi Wa dough; wata nonea shilingi za show kwisha..

CHORUS: NOEL NDERITU
[Eeh na Wanilinda baba mimi,
Nasimama kamili,
You are the strength when am weak,
Heeey Wanilinda .] x2

VERSE TWO: KAMLESH KAGABA
Baba wanilinda; naomba niwe more humble pride niwachie simba
Nisisubiri kuitwa mzito na siko worth the wait [weight]
Huu si mjadala though kwa mtego ya Mola am the bait [debate]
Nimekuja kutether ndovu kwa tooth pic
Siitiki ras juu ukiongeza a itakuwa matusi
Hii dunia gunia ndiposa bila Yesu it sucks [sack]
Utunzi mbovu ni mzigo kwa msikilizaji
So hata ka; sembe ni buda ya uji bado dhambi ina udhi
Ngoja; kamanda naraise the bar hadi walevi wanarudi sober
Unafiki ni kufast tu ile season umesota
Si; maji ya mbali hayakati kiu
So mbona nioge kwa umande na Yesu alilipa due [dew]
Before you quote the realest thing you ever wrote
I hope the King of kings dominates your footnotes
Ju kila bar ni whack kama haiadvance the kingdom
Scripture dawa ya kila syndrome; ratili ya kila opinion
Mwangaza hudhaminiwa by aliyekuwa gizani
Sauti kuu kanisani ni ya Mola sio ya kuhani
You were born for more than just to slay
Sisi bride so let’s live like the bridegroom is coming back today kweli kabisa

CHORUS: NOEL NDERITU
[ Eeh na Wanilinda baba mimi
Nasimama kamili
You are the strength when am weak
Heeey Wanilinda ] x2
Outro: Noel Nderitu
[Wanilinda] x3